IQNA

Mwito wa Qur'ani kwa ulimwengu kuhusu Hija, kuanzia umoja hadi faida za Kiroho

Mwito wa Qur'ani kwa ulimwengu kuhusu Hija, kuanzia umoja hadi faida za Kiroho

IQNA – Qur’an Tukufu haioneshi Hija tu kama faradhi ya mtu binafsi, bali pia kama mkusanyiko mkubwa wa pamoja wenye faida kwa mtu mmoja mmoja na kwa jamii kwa ujumla.
11:46 , 2025 May 30
Kiongozi wa Ansarullah aionya 'Israel' na kuitaka isitishe hujuma na jinai dhidi ya Gaza

Kiongozi wa Ansarullah aionya 'Israel' na kuitaka isitishe hujuma na jinai dhidi ya Gaza

IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka usitishe hujuma na jinai zake dhidi ya Ukanda wa Gaza vinginevyo utaendelea kuandamwa na mashambulio.
13:37 , 2025 May 29
Mabadiliko katika mipango ya Hija baada ya kuandama mwezi wa Dhul Hijjah

Mabadiliko katika mipango ya Hija baada ya kuandama mwezi wa Dhul Hijjah

QNA – Kufuatia tangazo la kuanza kwa mwezi wa Hijria wa Dhul Hijjah, serikali ya Saudi Arabia imepitia upya mipango ya msimu wa Hija wa mwaka huu katika kikao kilichofanyika Jumanne.
15:36 , 2025 May 28
Maqari Wairani washiriki hafla nyingine ya Qur'ani nchini Tanzania

Maqari Wairani washiriki hafla nyingine ya Qur'ani nchini Tanzania

IQNA – Hafla maalum ya Qur'ani imefanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania, ikiweka pamoja Waislamu ambao wamewasikiliza Maqari mashuhuri kutoka Iran waliotambulika kupitia kipindi maarufu cha televisheni cha Mahfel.
15:13 , 2025 May 28
Mwanaharakati: Chuki dhidi ya Uislamu si tatizo la Waislamu pekee, bali ni janga la dunia

Mwanaharakati: Chuki dhidi ya Uislamu si tatizo la Waislamu pekee, bali ni janga la dunia

IQNA – Chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) ni janga la kimataifa linaloathiri jamii nzima, si Waislamu pekee, alionya Abdulsamad Al-Yazidi, Mwenyekiti wa Kituo cha Kiislamu cha Ujerumani.
13:18 , 2025 May 28
Mlima Uhud: Msikiti wa Fasah na Pango la Uhud

Mlima Uhud: Msikiti wa Fasah na Pango la Uhud

IQNA – Katika mwinuko wa kaskazini wa Mlima Uhud ulioko Madinah, kuna maeneo mawili ya kihistoria, yakikumbusha matukio muhimu kutoka Vita vya Uhud vilivyobadilisha mwelekeo wa Uislamu.
13:09 , 2025 May 28
Ibada ambayo inadhihirisha uchaMungu wa kina

Ibada ambayo inadhihirisha uchaMungu wa kina

IQNA – Kuheshimu alama za ibada za Mwenyezi Mungu ni ishara ya usafi wa ndani wa nafsi na moyo wenye kumcha Mwenyezi Mungu.
13:04 , 2025 May 28
Klipu | Mwenyezi Mungu hukuokoeni

Klipu | Mwenyezi Mungu hukuokoeni

IQNA- Katika dunia ya leo yenye pilika pilika nyingi na mwendo wa haraka, wakati mwingine tunahitaji kusimama kwa muda mfupi na kupata utulivu. Mfululizo wa "Sauti ya Wahyi" kwa kuchagua baadhi ya aya kwenye Qur'ani Tukufu.
12:47 , 2025 May 28
Hija 1446: Zaidi ya Waislamu milioni moja wawasili Saudia

Hija 1446: Zaidi ya Waislamu milioni moja wawasili Saudia

IQNA – Zaidi ya Waislamu milioni moja kutoka nje ya Saudi Arabia wamewasili katika ufalme huo kwa ajili ya kushiriki katika ibada ya Hija ya kila mwaka, mamlaka husika zimetangaza siku ya Jumatatu.
17:34 , 2025 May 27
Mbunge wa Iran: Hija ni Jukwaa Lenye Nguvu la Kuunganisha Waislamu

Mbunge wa Iran: Hija ni Jukwaa Lenye Nguvu la Kuunganisha Waislamu

IQNA – Mbunge kutoka Iran ameelezea Hija kama fursa muhimu ya kukuza umoja miongoni mwa Waislamu duniani na kuimarisha juhudi za pamoja dhidi ya changamoto za pamoja.
17:29 , 2025 May 27
Misri yazindua mafunzo ya walimu wa Qur’an kwa lengo la kukuza uelewa wa kijamii

Misri yazindua mafunzo ya walimu wa Qur’an kwa lengo la kukuza uelewa wa kijamii

IQNA – Chuo cha Kimataifa cha Awqaf nchini Misri kimezindua kozi yake ya kwanza ya mafunzo kwa walimu wa Qur’an, ikilenga mbinu bora za kuhifadhi na kufundisha ndani ya madrasah za jadi.
17:24 , 2025 May 27
Kiongozi Muadhamu ahimiza hatua za pamoja za Iran na Pakistan kukomesha jinai za Gaza

Kiongozi Muadhamu ahimiza hatua za pamoja za Iran na Pakistan kukomesha jinai za Gaza

IQNA-Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia ulazima wa kuweko hatua za pamoja na zenye ufanisi baina ya Iran na Pakistan za kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza na ameashiria nafasi maalumu ya Pakistan katika ulimwengu wa Kiislamu.
17:21 , 2025 May 27
Israel yalaaniwa vikali kwa kuuhujumu Msikiti wa Al-Aqsa

Israel yalaaniwa vikali kwa kuuhujumu Msikiti wa Al-Aqsa

IQNA – Zaidi ya walowezi 1,000 wa Kizayuni wa utawala haramu wa Israel wakiwa na mawaziri wa mrengo mkali wa kulia na wakisaidiwa na jeshi la utawala huo katili, wameuvamia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji unaokaliwa wa al-Quds siku ya Jumatatu.
10:27 , 2025 May 27
Kongamano kubwa la Qur'ani Tukufu lafanyika Dar, Tanzania

Kongamano kubwa la Qur'ani Tukufu lafanyika Dar, Tanzania

IQNA-Kongamano kubwa la Qur'ani Tukufu limefanyika jana Jumapili , Dar es Salaam Tanzania huku viongozi wa dini mbalimbali chini ya kauli mbiu 'Sauti ya Rehema'.
21:43 , 2025 May 26
Idul Adha itakuwa lini mwaka huu?

Idul Adha itakuwa lini mwaka huu?

IQNA-Idul Adha inatarajiwa kuangukia tarehe 6 Juni mwaka huu, kulingana na Kituo cha Kimataifa cha Astronomia. Kituo hicho
21:09 , 2025 May 26
8