Habari Maalumu
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri pamoja na Radio ya Qur’ani ya taifa hilo, hivi karibuni wataanza mradi wa kurekodi qiraa mpya za Qur’an...
31 Dec 2025, 14:51
IQNA – Wakati wengi walikusanyika na familia zao, milango ya msikiti mmoja mjini Bradford, kaskazini mwa Uingereza, ilifunguliwa kuwapokea wale ambao vinginevyo...
31 Dec 2025, 14:43
IQNA – Haramu tukufu ya Hadhrat Abbas (AS) mjini Karbala, Iraq, imeandaa sherehe ya kila mwaka kwa heshima ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Jawad (AS).
31 Dec 2025, 14:37
IQNA – Haramu tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, imepambwa kwa maua mengi kwa heshima ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam wa kwanza wa Waislamu...
31 Dec 2025, 14:21
Istighfar Katika Qur’ani Tukufu/8
IQNA – Athari za Istighfar (kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu) hazihusiani tu na kusamehewa dhambi, bali pia huondoa vizuizi vinavyokwamisha baraka na...
30 Dec 2025, 14:44
IQNA – Mashindano ya 21 ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Algeria yameanza kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 48.
30 Dec 2025, 14:38
IQNA – Hafla maalumu imefanyika Gaza kuadhimisha mahafali ya wanafunzi kadhaa wa kike waliokamilisha kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
30 Dec 2025, 14:31
IQNA – Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran ametangaza jina la mwenyekiti wa Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Tehran, pamoja...
30 Dec 2025, 14:13
IQNA – Hafla ya Khatm Qur’an imefanyika katika mji wa Salalah, Oman, ikihusisha washiriki 110 waliokuwa wamehifadhi Qur’ani Tukufu.
30 Dec 2025, 14:01
IQNA – Kadri maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS) yanavyokaribia, bendera ya haram ya Imam huyo wa kwanza imebadilishwa katika hafla maalumu Jumapili.
29 Dec 2025, 13:23
IQNA – Zohran Mamdani ataapishwa kuwa meya wa 110 wa Jiji la New York wiki hii, ambapo ataweka historia kwa kuwa Mwislamu wa kwanza kuliongoza jiji kubwa...
29 Dec 2025, 13:17
IQNA – Kampuni zinazobobea katika huduma za chakula kwa wingi zinakaribishwa kuomba nafasi ya heshima ya kutoa futari katika Msikiti Mtukufu wa Makkah...
29 Dec 2025, 13:09
IQNA – Mapinduzi ya kimyakimya ya upishi yanaendelea mjini Seoul, Korea Kusini yakichochewa na mifuko na ladha za kundi linalokua kwa kasi: watalii Waislamu.
29 Dec 2025, 12:59
IQNA- Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa, Jamhuri ya Iran ya Kiislamu ni mbeba bendera ya kukabiliana mfumo...
28 Dec 2025, 15:21
IQNA – Kipindi cha 13 cha shindano la vipaji vya Qur’ani Tukufu nchini Misri maarufu Dawlat al-Tilawa kilirushwa hewani wiki hii, kikiashiria kuanza kwa...
28 Dec 2025, 15:56
IQNA – Baada ya tukio la kuvunjia heshima nakala ya Qur’ani Tukufu mbele ya Msikiti Mkuu wa Stockholm, mahitaji ya kununua tarjuma au tafsiri za Qur’ani...
28 Dec 2025, 15:50