Katika dunia ya leo yenye misukosuko na harakati nyingi, wakati mwingine tunahitaji kusimama kwa muda mfupi na kupata utulivu. Mkusanyiko wa 'Sauti ya Wahy' ukiwa na chaguo la aya za Qur’ani ni mwaliko wa safari ya kiroho na yenye utulivu."
IQNA – Kila mwaka, inapokaribia kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa Imam Ridha (AS), wafanyaziyara na waombolezaji kutoka mikoa na wilaya jirani huanza safari kwa miguu kuelekea mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Sayyid Muhammad Husaynipour, aliyeshinda nafasi ya kwanza katika mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, alishiriki katika msafara wa Qur’āni wa Arbaeen mjini Hillah, Iraq. Hii hapa klipu yake akisoma Qur'ani Tukufu
QNA – Msafara wa Qur’ani wa Arbaeen kutoka Iran, unaojulikana mwaka huu kama “Msafara wa Imam Ridha (AS)”, ulianza shughuli zake katika njia ya Arbaeen tarehe 8 Agosti 2025.