IQNA

Mashindano ya Qur'ani kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu yaweza kuchangia uhai wa kiroho katika vyuo

Mashindano ya Qur'ani kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu yaweza kuchangia uhai wa kiroho katika vyuo

IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu ni fursa muhimu ya kuleta unyenyekevu na uhai wa kiroho katika mazingira ya vyuo vikuu kupitia usomaji wa Qur'ani Tukufu, amesema afisa mmoja wa elimu.
21:25 , 2025 Jun 04
Msomi wa Lebanon: Fikra za Imam Khomeini zinategemea Qur’ani

Msomi wa Lebanon: Fikra za Imam Khomeini zinategemea Qur’ani

IQNA – Mtaalamu mmoja kutoka Lebanon amesema kuwa lengo la harakati ya Imam Khomeini ilikuwa kuelekea kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu na hivyo fikra zake zikitokana na misingi ya Qur’ani Tukufu.
21:15 , 2025 Jun 04
Tukishikamana na misingi ya Imam Khomeini, hakuna atakayetatiza Iran na Waislamu

Tukishikamana na misingi ya Imam Khomeini, hakuna atakayetatiza Iran na Waislamu

IQNA-Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa iwapo Wairani wataendelea kushikamana na misingi ya Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu), hakuna nguvu yoyote ya kigeni itakayoweza kuushinda mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu wala kuwatatiza Waislamu wengine.
18:49 , 2025 Jun 04
Kiongozi Muadhamu apuuzilia mbali pendekezo la Marekani kwa Iran la kusimamisha urutubishaji urani

Kiongozi Muadhamu apuuzilia mbali pendekezo la Marekani kwa Iran la kusimamisha urutubishaji urani

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema urutubishaji wa urani ndio ufunguo wa suala la nyuklia la Iran, akipuuzilia mbali pendekezo la Marekani kwa Tehran la kusimamisha kikamilifu urutubishaji wa madini hayo (ya urani).
18:28 , 2025 Jun 04
Zaidi ya chupa 218,000 za Maji ya Zamzam zimesambazwa katika Msikiti wa Mtume kwa siku 15

Zaidi ya chupa 218,000 za Maji ya Zamzam zimesambazwa katika Msikiti wa Mtume kwa siku 15

IQNA – Mamlaka katika mji mtukufu wa Madina zimeripoti kuwa tani 3,360 za maji ya Zamzam zimetumiwa katika Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi ndani ya kipindi cha siku 15.
16:20 , 2025 Jun 03
Imam Khomeini alianzisha mfano wa kuigwa wa mapinduzi ya kiroho na ya umma

Imam Khomeini alianzisha mfano wa kuigwa wa mapinduzi ya kiroho na ya umma

IQNA – Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) alisisitiza umuhimu wa marekebisho ya fikra na mitazamo kwa msingi kwamba binadamu asijidharau bali ajione kama kiumbe anayeweza kuona zaidi ya ulimwengu wa mali na kiroho. Kwa sababu hiyo, alianzisha mapinduzi ya kiroho na yanayoungwa mkono na umma.
16:09 , 2025 Jun 03
Kuimarisha Umoja ni lengo kuu la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanafunzi Waislamu

Kuimarisha Umoja ni lengo kuu la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wanafunzi Waislamu

IQNA – Lengo kuu la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa Wanafunzi Waislamu ni kuimarisha umoja miongoni mwa wanafunzi, wasomi, na wahadhiri kutoka ulimwengu wa Kiislamu, afisa mmoja amesema.
15:59 , 2025 Jun 03
Hamas yalaani njama za Israel za kutaka kuangamiza utambulisho wa Kiislamu wa Msikiti wa Al-Aqsa

Hamas yalaani njama za Israel za kutaka kuangamiza utambulisho wa Kiislamu wa Msikiti wa Al-Aqsa

IQNA – Harakati ya Palestina ya Mapambano ya Kiislamu, Hamas, imelaani vikali uvamizi wa kichokozi uliofanywa na walowezi wa Kiyahudi katika eneo la msikiti mtukufu wa Al-Aqsa, jijini Quds (Jerusalem) ikieleza kuwa ni sehemu ya juhudi za Israel za kufuta utambulisho wa Kiislamu wa eneo hilo takatifu.
15:38 , 2025 Jun 03
Hija: Fursa ya Kujiboresha Kimaadili na Kiroho

Hija: Fursa ya Kujiboresha Kimaadili na Kiroho

IQNA – Qur'ani Tukufu inawasilisha ibada za Hija kama fursa adhimu ya kujiimarisha kimaadili, kufanya mazoezi ya kujizuia, na kuandaa zana za kiroho kwa ajili ya maisha ya Akhera. Hii ni fursa isiyokadirika kwa kila Muislamu anayetafuta ukaribu na Mola wake.
13:09 , 2025 Jun 03
Bendera za Iddi ya Ghadir Zatolewa Zawadi kwa Taasisi za Kidini na Kitamaduni

Bendera za Iddi ya Ghadir Zatolewa Zawadi kwa Taasisi za Kidini na Kitamaduni

IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Imamu Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, imetoa zawadi ya bendera za Iddi ya Ghadir kwa taasisi mbalimbali za kidini, kitamaduni na huduma za kijamii ndani ya Iraq na katika nchi kadhaa nyingine.
14:34 , 2025 Jun 02
Mufti Mkuu wa Misri atoa wito wa kutafakari maana wakati wa kuhifadhi Qur’ani

Mufti Mkuu wa Misri atoa wito wa kutafakari maana wakati wa kuhifadhi Qur’ani

IQNA – Mufti Mkuu wa Misri amesisitiza kwamba kuhifadhi Qur’ani Tukufu hakupaswi kuishia katika kurudia na kukariri pekee, bali kunapaswa kuwa mchakato wa makusudi unaoambatana na kutafakari maana ya aya.
14:30 , 2025 Jun 02
Semina Mtandaoni: “Imam Khomeini, Kielelezo cha Mabadiliko katika Ulimwengu wa Kiislamu”

Semina Mtandaoni: “Imam Khomeini, Kielelezo cha Mabadiliko katika Ulimwengu wa Kiislamu”

IQNA – Semina ya kimataifa ya mtandaoni chini ya anuani ya “Imamu Mkuu Khomeini (MA): Kielelezo cha Mabadiliko katika Ulimwengu wa Kiislamu” imepangwa kufanyika Jumanne, tarehe 3 Juni.
14:22 , 2025 Jun 02
Mashindano ya Qur'ani kwa wanafunzi wa Kiislamu huunganisha vyuo vikuu na maisha ya kiroho

Mashindano ya Qur'ani kwa wanafunzi wa Kiislamu huunganisha vyuo vikuu na maisha ya kiroho

IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu si tu jukwaa la mashindano kuhusu maarifa ya Qur’ani, bali pia ni fursa adhimu ya kukuza na kuimarisha maisha ya kiroho katika mazingira ya kielimu, afisa mmoja amesema.
14:11 , 2025 Jun 02
Kiongozi wa Hizbullah: Misingi ya Imam Khomeini (MA) itasalia kuwa nuru ya Muqawama

Kiongozi wa Hizbullah: Misingi ya Imam Khomeini (MA) itasalia kuwa nuru ya Muqawama

IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naeem Qassem, amesisitiza kuwa mafundisho Uislamu asili wa Mtume Muhammad kupitia misingi ya kimapinduzi ya Imam Ruhollah Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) yataendelea kuwa mwanga unaoongoza harakati za mapambano au Muqawama na vuguvugu za ukombozi katika eneo la Asia na ulimwengu mzima wa Kiislamu.
13:54 , 2025 Jun 02
Al-Azhar yazindua mpango wa mafunzo  ya Qur'ani katika majira ya joto

Al-Azhar yazindua mpango wa mafunzo ya Qur'ani katika majira ya joto

IQNA – Toleo la tatu la mpango wa majira ya joto wa Qur'ani wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri limeanza kutekelezwa Jumapili.
19:40 , 2025 Jun 01
6