IQNA

Israel yaua na kujeruhi Wapalestina 150 katika 'mitego ya kifo' ya vituo vya misaada Gaza

Israel yaua na kujeruhi Wapalestina 150 katika 'mitego ya kifo' ya vituo vya misaada Gaza

IQNA-Ofisi ya Habari ya Serikali katika Gaza imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya mauaji mapya ya halaiki dhidi ya raia wa Kipalestina katika maeneo ya usambazaji wa misaada ya kibinadamu, ambayo yanajulikana kama “mitego ya kifo”, ambapo watu wasiopungua 30 wameuawa shahidi na zaidi ya 120 kujeruhiwa.
12:16 , 2025 Jun 01
Imam Khomeini alifanya Palestina kuwa kipaumbele nambari moja katika ulimwengu wa Kiislamu

Imam Khomeini alifanya Palestina kuwa kipaumbele nambari moja katika ulimwengu wa Kiislamu

IQNA – Afisa mmoja wa Iran ameelezea mtazamo wa kimapinduzi wa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) kuhusu suala la muqawama (mapambano), akisema kuwa muasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu aligeuza Palestina kuwa suala nambari moja kwa Waislamu duniani.
12:10 , 2025 Jun 01
Qari wa Iran: Hija ni fursa ya mashirikiano kwa wasomaji wa Qur'ani wa ulimwengu wa Kiislamu

Qari wa Iran: Hija ni fursa ya mashirikiano kwa wasomaji wa Qur'ani wa ulimwengu wa Kiislamu

IQNA – Ibada ya Hija ni fursa adhimu kwa wasomaji wa Qur'ani kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu kukutana, kushirikiana na kunufaika na tajiriba za wenzao, amesema Qari mmoja kutoka Iran.
12:03 , 2025 Jun 01
Rais wa Nigeria: Qur'ani Tukufu ni Chanzo cha Nuru, Hekima na Faraja

Rais wa Nigeria: Qur'ani Tukufu ni Chanzo cha Nuru, Hekima na Faraja

IQNA – Rais wa Nigeria ameielezea Qur'ani Tukufu kama mwongozo kamili kwa wanadamu na chanzo cha nuru, hekima na faraja.
11:50 , 2025 Jun 01
Katika Picha: Mkutano wa Mahujaji wa Kisunni wa Iran Huko Makka

Katika Picha: Mkutano wa Mahujaji wa Kisunni wa Iran Huko Makka

IQNA – Mkutano wa Mahujaji wa Kisunni kutoka Iran umefanyika Makka kwa kauli mbiu ya "Muunganiko wa Kiislamu katika Hajj kwa Ajili ya Kutetea Palestina."
22:01 , 2025 May 31
Milango 199 yazinduliwa Misikiti ya Makka na Madina ili kuboresha mtiririko wa Mahujaji

Milango 199 yazinduliwa Misikiti ya Makka na Madina ili kuboresha mtiririko wa Mahujaji

IQNA – Jumla ya milango 199 imewezeshwa ili kuboresha mtiririko wa Mahujaji wanaoingia na kutoka katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram na Msikiti wa Mtume, Al Masjid an Nabawi, huko Madina wakati wa msimu wa Hija.
21:55 , 2025 May 31
CAIR:Ufaransa inatekeleza sera rasmi ya  Chuki Dhidi ya Uislamu

CAIR:Ufaransa inatekeleza sera rasmi ya Chuki Dhidi ya Uislamu

IQNA – Serikali ya Ufaransa imeshutumiwa kwa kulenga shirika la Ulaya linalojitolea kupambana na chuki dhidi ya Uislamu.
21:36 , 2025 May 31
Mpango wa Kitaifa wa Qur'ani wa Amir Al-Qurra wazinduliwa Iraq 

Mpango wa Kitaifa wa Qur'ani wa Amir Al-Qurra wazinduliwa Iraq 

IQNA – Jukwaa la Sayansi ya Qur'ani, linaloendeshwa na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, limezindua toleo la 9 la mpango wa kitaifa wa Qur'ani.  
21:22 , 2025 May 31
Jumba la Makumbusho ya Wasomaji wa Qur'ani kuzinduliwa Misri

Jumba la Makumbusho ya Wasomaji wa Qur'ani kuzinduliwa Misri

IQNA-Mkuu wa Mamlaka ya Kitaifa ya Vyombo vya Habari ya Misri ametangaza mipango ya kuzindua Jumba la Makumbusho ya Wasomaji wa Qur'ani nchini humo.
21:06 , 2025 May 31

"Kupinga Ubeberu" ndiyo msingi wa sera ya mambo ya nje ya Iran katika fikra za Imam Khomeini

IQNA – Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu-RA) aliweka msingi wa sera ya mambo ya nje ya Jamhuri ya Kiislamu juu ya kanuni ya "kupinga ubeberu."
14:52 , 2025 May 31
Darsa za Qur’ani, juhudi mpya ya kufufua utamaduni wa tafakuri ya Qur’ani

Darsa za Qur’ani, juhudi mpya ya kufufua utamaduni wa tafakuri ya Qur’ani

IQNA-Wanazuoni wa Kiislamu hivi karibuni wameanzisha mradi kwenye mitandao ya kijamii uitwao "Darasa za Qur’ani", wenye lengo la kukuza uelewa wa dhana za Qur’ani kwa njia inayoambatana na zama za kidijitali na teknolojia.
19:30 , 2025 May 30
UNRWA: Waarabu wawape Wapalestina tone tu la Matrilioni waliyompa Trump

UNRWA: Waarabu wawape Wapalestina tone tu la Matrilioni waliyompa Trump

IQNA-Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa Linalowahudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amezitaka nchi za Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi kutenga tone tu la fedha zilizotajwa katika ‘makubaliano makubwa’ kati yao na Rais wa Marekani, Donald Trump, ili kusaidia wakimbizi wa Kipalestina wanaopambana kuendelea kuishi katika ardhi zao ambazo Israel imezikalia kwa mabavu na pia wale wanaoishi katika nchi jirani.
19:09 , 2025 May 30
Waislamu wa Marekani kuadhimisha Idul Adha Ijumaa Juni 6

Waislamu wa Marekani kuadhimisha Idul Adha Ijumaa Juni 6

IQNA-Kwa mujibu wa taarifa, mnamo Ijumaa, Juni 6, Waislamu wa Marekani wanapanga kuadhimisha mwanzo wa sikukuu hii inayohitimisha ibada ya Hija kwa kuswali pamoja na kusherehekea katika maeneo mbalimbali nchini humo. 
19:04 , 2025 May 30
Mfasiri: Ujumbe wa Qur’aniUna usambazwe kimataifa: Kiongozi wa Kidini

Mfasiri: Ujumbe wa Qur’aniUna usambazwe kimataifa: Kiongozi wa Kidini

IQNA: Qur’ani Tukufu ina maarifa ya kimataifa yanayopaswa kufafanuliwa, na ujumbe wake unapaswa kuwasilishwa kwa ulimwengu mzima, amesema Hujjatul Islam Mohsen Qara’ati, mwanazuoni wa Kiislamu na mtafsiri wa Qur’ani kutoka Iran.
18:41 , 2025 May 30
Watu 300 mahshuhuri Uingereza wataka serikali iache kushirikiana na Israel katika mauaji ya kimbari Gaza

Watu 300 mahshuhuri Uingereza wataka serikali iache kushirikiana na Israel katika mauaji ya kimbari Gaza

IQNA-Zaidi ya watu mashuhuri 300, wakiwemo waigizaji, wanamuziki na wanaharakati, wametuma barua kwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, wakimtaka asitishe uungaji mkono wa Uingereza kwa Israel katika vita vyake vya mauaji ya kimbari dhidi ya Gaza.
18:27 , 2025 May 30
7