IQNA

Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai kujimuisha vitengo vitatu

Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai kujimuisha vitengo vitatu

IQNA – Mashindano yajayo ya Qur’ani ya  Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai yatafanyika katika sehemu tatu kuu, na kwa mara ya kwanza yatafungua milango kwa washiriki wa kike.
18:56 , 2025 May 23
Ayatullah Sistani asisitiza ustawi wa shughuli za hisani

Ayatullah Sistani asisitiza ustawi wa shughuli za hisani

IQNA – Kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sistani, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza shughuli za hisani kwa moyo wa kujitolea.
18:47 , 2025 May 23
Maandalizi ya maadhimisho ya kufa shahidi Imam Jawad (AS)

Maandalizi ya maadhimisho ya kufa shahidi Imam Jawad (AS)

IQNA – Maandalizi ya maadhimisho a kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Jawad (AS) katika mji mtakatifu wa Kadhimiya yalipitiwa upya katika mkutano wa hivi karibuni.
18:26 , 2025 May 23
Mashindano ya Kwanza ya Kuhitimisha  Qur’ani yafanyika Damascus

Mashindano ya Kwanza ya Kuhitimisha Qur’ani yafanyika Damascus

IQNA – Wizara ya Wakfu ya Syria imeandaa mashindano ya kwanza nchini humo ya kukamilisha usomaji wa Qur’ani nzima kwa siku moja, yakivutia mamia ya wahifadhi wa kiume na wa kike katika misikiti mitatu mikubwa kwenye mji mkuu.
18:09 , 2025 May 23
Tafsiri mpya ya Qur'ani kwa lugha ya Kiswahili, Tafsir Nur, yazinduliwa Dar

Tafsiri mpya ya Qur'ani kwa lugha ya Kiswahili, Tafsir Nur, yazinduliwa Dar

IQNA- Katika hafla ya kipekee iliyofanyika pembezoni mwa Kongamano la 30 la Qur'an Tukufu, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania, Tafsiri mpya ya Qur’an Tukufu kwa lugha ya Kiswahili imezinduliwa rasmi.
12:21 , 2025 May 22
Kongamano la Kimataifa la Qur'ani Tukufu lafanyika Tanzania

Kongamano la Kimataifa la Qur'ani Tukufu lafanyika Tanzania

IQNA- Kongamano la 30 la Qur’an Tukufu na Hadithi limefanyika kwa mafanikio makubwa Jijini Dar-es-Salaam - Tanzania, likiwakutanisha wasomaji mahiri wa Qur’an kutoka nchini Iran na ndani ya Tanzania..
10:03 , 2025 May 22
Katika Picha: Jumba la Kitaifa la Makumbusho la Sanaa la Isfahan

Katika Picha: Jumba la Kitaifa la Makumbusho la Sanaa la Isfahan

IQNA – Jumba la Kitaifa la Makumbusho la Sanaa la Isfahan, lililozinduliwa mnamo Februari 2022, liko ndani ya jengo la kihistoria kutoka enzi ya mwisho ya utawala wa Qajar.
15:49 , 2025 May 21
Watu wenye uwezo wanawajibika mbele ya Mwenyezi Mungu kuhusu Hija

Watu wenye uwezo wanawajibika mbele ya Mwenyezi Mungu kuhusu Hija

IQNA – Qur'ani Tukufu inaitazama Hija kama haki ya Mwenyezi Mungu juu ya wanadamu, na ni wajibu kwa wale wote walio na uwezo wa kufika katika Nyumba ya Mwenyezi Mungu katika mji mtakatifu wa Makka.
15:44 , 2025 May 21
Kosovo: Aliyevunjia heshima  Qur'ani Tukufu Kosovo ashtakiwa

Kosovo: Aliyevunjia heshima Qur'ani Tukufu Kosovo ashtakiwa

IQNA – Mwanaume mmoja ameshtakiwa rasmi nchini Kosovo kwa kitendo cha kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu miezi michache iliyopita.
15:37 , 2025 May 21
Sweden yashinda Tuzo Kuu Katika Mashindano ya Ulaya ya Kuhifadhi Qur’ani

Sweden yashinda Tuzo Kuu Katika Mashindano ya Ulaya ya Kuhifadhi Qur’ani

IQNA – Toleo la tatu la Mashindano ya Kimataifa ya Ulaya ya Kuhifadhi Qur’ani kwa washiriki wa umri mkubwa limehitimishwa mjini Rijeka, Croatia, ambapo Muhammad Abdi kutoka Sweden (Uswidi) alitwaa nafasi ya kwanza.
15:32 , 2025 May 21
Waislamu Ufaransa  wataka Palestina itambuliwe kama nchi, uhusiano na Israel ukatwe

Waislamu Ufaransa wataka Palestina itambuliwe kama nchi, uhusiano na Israel ukatwe

IQNA – Baraza la Kiislamu la Ufaransa (CFCM) limeitaka Ufaransa na Umoja wa Ulaya kuitambua rasmi Palestina kama nchi huru na kusitisha makubaliano yao ya kisiasa na kiuchumi na utawala wa Israel kutokana na jinai za utawala huo huko Gaza.
15:27 , 2025 May 21
Wizara ya Wakfu ya Misri kuandikisha watoto milioni moja kuhifadhi Qur'ani

Wizara ya Wakfu ya Misri kuandikisha watoto milioni moja kuhifadhi Qur'ani

IQNA – Msemaji wa Wizara ya Wakfu ya Misri ametangaza uzinduzi wa mpango wa majira ya kiangazi kwa watoto katika misikiti ya nchi hiyo.
15:08 , 2025 May 21
Kiongozi Muadhamu apongeza unyenyekevu na huduma za Shahidi Rais Raisi

Kiongozi Muadhamu apongeza unyenyekevu na huduma za Shahidi Rais Raisi

IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemsifu Shahidi Rais Ebrahim Raisi kama mtumishi wa umma aliyejitolea, ambaye unyenyekevu wake na kujituma bila kuchoka kwa ajili ya watu vilimtofautisha na wengine.  
22:30 , 2025 May 20
Sherehe zafanyika Mauritania kuwaenzi wahifadhi wa Qur'ani

Sherehe zafanyika Mauritania kuwaenzi wahifadhi wa Qur'ani

IQNA – Kundi la watu waliokamilisha kuhifadhi Qur'anI Tukufu kikamilifu wameenziwa katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa Mauritania, Nouakchott.
21:59 , 2025 May 20
Semina ya Al-Azhar yajadili uumbaji wa milima kwa mtazamo wa Qur’ani

Semina ya Al-Azhar yajadili uumbaji wa milima kwa mtazamo wa Qur’ani

IQNA – Semina kuhusu uumbaji wa milima kwa mtazamo wa Qur’ani ilifanyika katika Msikiti Mkuu wa Al-Azhar huko Cairo, Misri.  
21:49 , 2025 May 20
10