iran

IQNA

IQNA – Katibu wa Makao Makuu ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu nchini Iran ametangaza kuwa kaulimbiu kuu ya hafla ya mwaka huu ni “Ummah wa Mtume Mtukufu (SAW).”
Habari ID: 3482671   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/24

IQNA – Mchakato wa utekelezaji wa toleo la 18 la mashindano ya kitaifa ya Qur’ani ya ‘Mudhammatan’ umeanza rasmi nchini Iran.
Habari ID: 3482668   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/24

IQNA – Msomaji mashuhuri wa Qur’an Tukufu kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ndugu Masoud Panjeh, ambaye ni Qari katika Haram Tukufu ya Imam Ali ibn Musa al-Ridha (AS) mjini Mashhad, hivi karibuni amesoma aya za 1–8 za Surah Al-Mulk.
Habari ID: 3482635   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/17

IQNA – Mwanazuoni wa Kiislamu kutoka Iran ametoa wito wa kuitumia Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI) siyo kama nyenzo ya kusaidia pekee, bali kama chachu kuu ya kuleta mageuzi katika tafiti na harakati za Qur’ani.
Habari ID: 3482634   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/16

IQNA – Harakati ya Muqawama wa Palestina ya Hamas imepongeza kauli ya Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Mohsen Rezaei, kuhusu umuhimu wa kusitishwa kwa vita katika ukanda wa Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
Habari ID: 3482623   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/14

IQNA – Iran na Iraq zimeanza mapema mashauriano na maandalizi ya ziara ya Arbaeen ya mwaka ujao, mara tu baada ya kumalizika kwa matembezi ya mwaka huu, amesema Mojtaba Shahti Karimi, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kibalozi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na Mkuu wa Kamati ya Kisiasa na Kibalozi ya Makao Makuu ya Arbaeen.
Habari ID: 3482591   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/07

IQNA – Balozi wa Iran nchini Iraq amesema kuwa Mashaya au matembezi ya Arbaeen ya mwaka huu yanaendeshwa kwa utukufu mkubwa zaidi, kwa utaratibu mzuri na ikiwa na changamoto chache ikilinganishwa na miaka iliyopita.
Habari ID: 3482575   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/02

IQNA – Balozi wa Iran nchini Urusi (Russia), Kazem Jalali, alimkabidhi Askofu Mkuu wa Russia ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, wakati wa mkutano wao.
Habari ID: 3482569   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01

TEHRAN (IQNA) – Katika hafla adhimu iliyofanyika katika Ukumbi wa Hekmat, ndani ya Maktaba ya Kitaifa na Nyaraka za Iran, mnamo tarehe 29 Julai 2026, ulimwengu ulishuhudia kuzinduliwa kwa Msahafu wa Zaferani.
Habari ID: 3482564   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01

IQNA – Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tunisia umekashifu Marekani kwa “Unafiki wa Kidini” kufuatia video inayoonyesha askari wa Marekani wakishiriki katika ibada ya sala.
Habari ID: 3482563   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01

IQNA – Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Malaysia amechaguliwa rasmi.
Habari ID: 3482562   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01

IQNA – Mkutano wa wanazuoni wa Kisunni na Kishia kutoka Iran na Iraq ulifanyika siku ya Ijumaa katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Habari ID: 3482545   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/27

Mtazamo
IQNA – Mchambuzi wa kisiasa kutoka Lebanon anaamini kuwa mvutano unaoendelea katika Lango Bahari La Hormuz si mapambano ya kawaida juu ya njia ya majini, bali ni vita vikali vya kuamua hatima na utambulisho wa mfumo wa kiusalama katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3482543   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/27

IQNA – Makao Makuu ya Kituo cha Arbaeen nchini Iran yametangaza kuanza rasmi kwa utumaji wa mazuwari kuelekea Iraq kwa ajili ya msafara wa Arbaeen wa mwaka huu.
Habari ID: 3482538   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/26

TEHRAN – Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa hatua zote muhimu zimechukuliwa ili kuhakikisha kuwa ziara ya Arbaeen inafanyika kwa utaratibu, usalama, na utulivu wa hali ya juu.
Habari ID: 3482526   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/22

IQNA – Mkuu wa Makao Makuu ya Kati ya Arbaeen nchini Iran amesisitiza umuhimu wa matembezi ya kila mwaka ya Arbaeen kama fursa adhimu ya kueneza utamaduni wa Qur’ani.
Habari ID: 3482521   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/21

IQNA – Muungano wa Walimu wa Marekani (American Federation of Teachers - AFT) umeitupia lawama utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kusababisha mgogoro wa walimu katika ardhi za Palestina, huku ukitoa wito wa kukomeshwa kwa uchokozi dhidi ya Lebanon na kuondolewa kwa mzingiro haramu uliowekwa kwenye bandari za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3482520   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/21

IQNA – Vituo vyote ya mipakainayoelekea nchini Iraq sasa vinafanya kazi kikamilifu na viko tayari kurahisisha uingiaji na utokaji wa wafanyaziyara wa Arbaeen, amesema afisa mmoja wa Iran.
Habari ID: 3482516   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/20

IQNA-Iran imeonya kwamba italenga kila miundombinu iliyosalia katika eneo hili iwapo miundombinu yake itashambuliwa.
Habari ID: 3482494   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/16

IQNA – Vatikani (Vatican) imekataa jaribio la balozi wa utawala wa Trump katika Vatikan la kuwasilisha ukosoaji wa Papa Leo wa XIV dhidi ya vita vya Marekani dhidi ya Iran kana kwamba ulikuwa uingiliaji wa kisiasa badala ya msimamo wa kidini.
Habari ID: 3482484   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/14