IQNA – Msomaji mashuhuri wa Qur’an Tukufu kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ndugu Masoud Panjeh, ambaye ni Qari katika Haram Tukufu ya Imam Ali ibn Musa al-Ridha (AS) mjini Mashhad, hivi karibuni amesoma aya za 1–8 za Surah Al-Mulk.

Unaweza kusikiliza usomaji wake mtukufu wa aya hizi hapa chini: