israel - Ukurasa 44

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Maulamaa wapatao 300 wa Kiislamu wamekutana Istanbul Uturuki na kutangaza kuwa uhusiano wowote wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni haramu.
Habari ID: 3471316   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe katika Mkutano wa Pili Muungano wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama unaofanyika huko Lebanon akiagiza kudumishwa mapambano ya aina mbalimbali dhidi ya utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa wale wote wanaohisi kubeba dhima na wajibu huo mkubwa.
Habari ID: 3471242   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/01

TEHRAN (IQNA)- Agosti 21 miaka 48 iliyopita, yaani mwaka 1969 Miladia, Msikiti wa al-Aqsa Kibla cha Kwanza cha Waislamu ulihujumiwa na kuteketezwa moto na Wazayuni kwa himaya ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3471136   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/22

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuwa, kushindwa na kufedheheka vitaukumba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita yoyote ile itakayotokea, zaidi ya kushindwa kulikoukuta katika vita vya siku 33 vya mwaka 2006.
Habari ID: 3471122   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/14

TEHRAN (IQNA)-Ulimwengu wa Kiislamu umelaani hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuufunga Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu baada ya oparesheni ya Wapalestina dhidi wanajeshi wa Kizayuni karibu na msikiti huo.
Habari ID: 3471067   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/15

TEHRAN (IQNA)-Wapalestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa katika oparesheni dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
Habari ID: 3471066   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/14

Waziri Mkuu wa India safarini Tel Aviv
TEHRAN (IQNA)-Narendra Modi, Waziri Mkuu wa India anatembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel na kukutana na wakuu wa utawala huo wa Kizayuni lakini hatakutana na viongozi wa Palestina.
Habari ID: 3471051   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/05

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel sasa utatimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuuteka mji mtakatifu wa Makka kupitia msaada wa Muhammad bin Salman, mrithi mpya wa kiti cha ufalme nchini humo.
Habari ID: 3471048   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/03

TEHRAN (IQNA)- Kumefanyika kikao cha siri mjini Cairo kati ya nchi kadhaa za Kiarabu na Utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mustakabali wa eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471041   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/29

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3470978   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/13

TEHRAN (IQNA)-Kamati ya Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Utamaduni na Sayansi UNESCO Jumanne ilipitisha azimio ambalo liliulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kukiuka sheria za kimataifa katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470966   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao
Habari ID: 3470951   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/25

TEHRAN (IQNA)-Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim AS.
Habari ID: 3470934   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/14

IQNA-Maelfu ya Wapalestina wameandamana kupinga sheria ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupiga marufuku adhana katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
Habari ID: 3470890   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/12

IQNA: Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamewateka nyara Wapalestina kadhaa akiwemo mbunge mwanamke katika oparesheni ya Alhamisi.
Habari ID: 3470888   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/10

IQNA: Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina utafanyika tarehe 21 na 22 Februari katika mji mkuu wa Iran, Tehran.
Habari ID: 3470856   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19

Sayyid Hassan Nasrallah
IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo hauuogopi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wala shetani mkuu Marekani.
Habari ID: 3470854   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/17

Balozi wa Iran nchini Tanzania anayeondoka
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania ambaye muda wake umemalizika amesema, kadhia ya kukombolewa Quds Tukufu ni kadhia muhimu zaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu na miongoni mwa watetezi wa uhuru duniani.
Habari ID: 3470622   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/20

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limepitisha azimio na kusema Msikiti wa Al Aqsa ni milki ya Waislamu kwamba Mayahudi hawana haki katika msikiti huo.
Habari ID: 3470611   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14

Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kiongozi pekee wa Kiarabu aliyehudhuria mazishi ya rais wa zamani wa utawala bandia wa Israel, maarufu kama katili wa Qana.
Habari ID: 3470587   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/30