israel - Ukurasa 38

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Mfalme Mohammad VI wa Morocco amesema nchi yake itaendelea kuunga mkono Wapalestina hadi watakaporejeshewa haki zao zote hasa kuanzishwa nchi huru ya Palestina mji wake mkuu ukiwa ni Quds (Jerusalem) Mashariki.
Habari ID: 3473411   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/01

TEHRAN (IQNA)- Mjumbe wa Mfalme wa Bahrain na wenzake aliofuatana nao wameingia msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), unaokaliwa kwa mabavu na Israel, kwa kujificha wakihofu wasije wakatambuliwa na Wapalestina.
Habari ID: 3473409   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/30

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amelaani vikali hujuma hiyo ya kigaidi na kuongeza kuwa, kuna dalili nzito zinazoonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ulihusika katika mauaji ya Mohsen Fakhrizadeh ambaye alikuwa Mkuu wa Shirika la Utafiti na Ubunifu katika Wizara ya Ulinzi ya Iran.
Habari ID: 3473401   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/28

TEHRAN (IQNA) - Utawala dhalimu wa Israel hatimaye umelazimika kumuachilia huru Maher al Akhras mateka wa Kipalestina ambaye alikabiliana pakubwa na utawala huo.
Habari ID: 3473395   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/26

TEHRAN (IQNA) - Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu janga la COVID-19 kusambaratisha mfumo wa afya katika eneo la Palestina la Ghaza, ambalo limezingirwa kinyama na Israel.
Habari ID: 3473389   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/24

Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamini Netanyahu na baadhi ya maafisa wa Shirika la Ujasusi la Israel (MOSSAD) wamefanya ziara ya siri kwa wakati mmoja na Mike Pompeo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani.
Habari ID: 3473385   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/23

TEHRAN (IQNA) - Ufalme wa Saudi Arabia umesisitiza kwamba unaunga mkono uanzishwaji uhusiano kamili na kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473382   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/22

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ameongoza ujumbe wa ngazi za juu wa serikali ya Manama kutembelea utawala haramu wa Israel ambao uko katika ardhi za Palestina ambazo unazikalia kwa mabavu.
Habari ID: 3473373   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/19

TEHRAN (IQNA)- Makundi ya kutetea haki za binadamu yameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe hujuma zake za kijeshi dhidi ya Ukanda wa Ghaza na uwalipe fidia wakulima uliowaharibia mashamba yao.
Habari ID: 3473356   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/13

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa ikilaani uhalifu unaoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel wa kubomoa nyumba na taasisi za Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3473346   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/10

Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amemtaka rais mteula wa Marekani Joe Biden aufutilie mbali mpango wa Marekani-Wazayuni wa Muamala wa Karne, uliojaa njama na hila kwa madhara ya Wapalestina.
Habari ID: 3473341   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/08

TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la kuetea haki za binadamu limesema oparesheni ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel ya kubomoa nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni 'maangamizi ya kimbari'.
Habari ID: 3473335   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/06

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema hatua ya Sudan kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel inalenga kudhamini malengo ya utawala huo ambayo ni kuangamiza taifa la Palestina.
Habari ID: 3473294   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/25

TEHRAN (IQNA)- Makundi ya mapambano ya Kiislamu au muqawama yamelaani vikali hatua ya Sudan kuafiki kuanzisha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Wananchi wa Palestina wamekitaja kitendo hicho cha kisaliti kama 'dhambi ya kisiasa.'
Habari ID: 3473290   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/24

Mkuu wa ICRO
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu Iran (ICRO) amesema, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapaswa kutekeleza majukumu yake kuhusiana na Fatuwa ambayo imetolewa na wanazuoni wa Kiislamu ya kuharamisha kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473281   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/21

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Ukuras wa Twitter wa Kiongozi Maudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu umezungumzia hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473280   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/21

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Palestina amelaani kitendo cha kuruhusiwa ujumbe wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuingia ndani ya Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) huku Wapalestina wakizuiwa kuswali katika msikiti huo.
Habari ID: 3473279   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/20

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wenye hasira nchini Bahrain wameandamana kupinga safari ya ujumbe wa Marekani-Kizayuni katika nchi yao kwa lengo la kutangaza rasmi mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Bahrain na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473276   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/19

TEHRAN (IQNA) - Asilimia 95 ya wananchi wa Bahrain wanapinga hatua ya utawala wa kifalme nchini humo kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473272   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/18

TEHRAN (IQNA)- Sayyid Ammar Hakim, Kiongozi wa Mrengo wa Kitaifa wa al-Hikma wa Iraq amelaani vikali siasa za baadhi ya mataifa ya Kiarabu katika eneo la Asia Magharibi za kufanya mapatano na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, nchi yake katu haitafanya mapatano na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3473271   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/18