IQNA – Watetezi wa haki za binadamu na maafisa wa Palestina wameilaani hatua wanayoieleza kuwa ni kukiuka kwa mfumo uhuru wa ibada, baada ya utawala haramu wa Israel kwa mara nyingine kuzuia maelfu ya Wapalestina wa Gaza kusafiri kwenda Saudi Arabia kwa ajili ya Hija ya kila mwaka.
Habari ID: 3482268 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/22
IQNA – Mchezaji wa Ufaransa, Sacha Bouy, alivutia hisia wakati wa sherehe za ubingwa wa Ligi ya Uturuki za klabu yake Galatasaray, alipohudhuria hafla ya kukabidhiwa kombe akiwa amebeba bendera ya Palestina.
Habari ID: 3482254 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/18
IQNA – Mlipuko mkubwa umetokea katika kituo cha viwanda katika eneo la Beit Shemesh karibu na mji mtakatifu wa Al‑Quds (Jerusalem), huku mtikisiko wake ukihisiwa katika maeneo mbalimbali ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina la 'Israel'.
Habari ID: 3482248 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/17
Maafisa wa UN katika Siku ya Ukumbusho wa Nakba
IQNA – Wakikumbuka mwaka wa Nakba Ijumaa, maafisa wakuu wa Umoja wa Mataifa wameonya kwamba mateso na uhamishaji walioupata Wapalestina tangu mwaka 1948, baada ya ardhi yao kukoliniwa na Israel, ni maumivu yanayoendelea kwa vizazi na maelfu ya kilomita.
Habari ID: 3482243 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/16
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa
IQNA-Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kimesema kuwa ushiriki, uwezeshaji na ushirikiano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika vita vya hivi karibuni vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani pamoja na utawala wa Israel dhidi ya Iran ni sawa na “kusaidia kambi ya ukafiri dhidi ya ndugu Waislamu” na kwa hivyo ni “haramu kabisa.”
Habari ID: 3482238 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/14
IQNA – Kwa zaidi ya miaka miwili sasa, vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendeshwa na utawala wa Kizayuni wa Israel vimegeuza mitaa mizima ya mji wa Gaza kuwa magofu ya simenti na vyuma vilivyopinda.
Habari ID: 3482219 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/09
IQNA – Utawala dhalimu wa Israel umewapiga marufuku wahubiri wawili mashuhuri wa Kiislamu wa Palestina kuingia katika Msikiti wa Al‑Aqsa jijini Al Quds (Jerusalem) kwa kipindi cha miezi sita.
Habari ID: 3482211 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/07
IQNA – Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kusitisha kujipanga upande mmoja na kushirikiana na pande zinazoiwekea uadui Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 3482210 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/07
IQNA-Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu imetangaza Jumapili kuwa Gaza imegeuka kuwa sehemu hatari kuliko zote duniani kwa wanahabari, huku angalau wafanyakazi 295 wa vyombo vya habari wakithibitishwa kuuawa katika mashambulizi ya Israel tangu kuanza kwa vita Oktoba 2023.
Habari ID: 3482200 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/04
IQNA-Malalamiko yameendelea kumiminika baada ya Muisraeli mwenye misimamo mikali kumshambulia mtawa Mkristo raia wa Ufaransa, huku Waisraeli Wazayuni wakishadidisha mashambulizi dhidi ya Waislamu na Wakristo pamoja na maeneo matakatifu katika ardhi za Palestina zinazokoloniwa na utawala wa Israel.
Habari ID: 3482188 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/01
IQNA – Waandaaji wa msafara mkubwa wa kibinadamu wa meli unaoelekea Gaza wamesema kuwa vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimejaribu kuuzuia msafara huo, kwa kuzuia baadhi ya meli katika maji ya kimataifa kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones), kuvuruga mawasiliano na askari waliopanda meli kwa nguvu.
Habari ID: 3482184 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/30
IQNA – Msafara wa meli unaojulikana kama Global Sumud Flotilla, unaolenga kuvunja mzingiro uliowekwa na utawala katili wa Israeli dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, umefika katika maji ya kimataifa karibu na pwani ya Ugiriki.
Habari ID: 3482179 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/29
IQNA – Sheikh Raed Salah na Sheikh Kamal al‑Khatib wamelaani marufuku ya wiki moja iliyowekwa na mamlaka za utawala haramu wa Israel kuwazuia kuingia katika Msikiti wa Al‑Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo, wakisema ni “shambulio dhidi ya dini yetu.”
Habari ID: 3482178 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/29
IQNA – Mtaalamu wa Qur’ani Tukufu kutoka Lebanon amekosoa misimamo ya qari mmoja kutoka Kuwait akisema kuwa haina uhusiano na mafundisho ya Qur’ani.
Habari ID: 3482177 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/29
IQNA – Akikosoa kwa ukali misimamo ya qari wa Kuwait, Mishary Rashid al‑Afasi, katika kuhalalisha mashambulizi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, msomaji wa Qur’ani kutoka Yemen ametoa wito wa kususiwa kwa al‑Afasi.
Habari ID: 3482173 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/28
IQNA – Kamanda mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amekanusha vikali propaganda za Israel zinazolenga kupunguza nguvu za harakati ya Hizbullah, huku akisisitiza uungaji mkono kamili wa mhimili wa muqawama kwa harakati hiyo.
Habari ID: 3482169 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/27
IQNA-Baraza Kuu la Usalama wa Taifa limetoa taarifa kuhusu ushindi wa kihistoria wa Iran katika vita vya tatu vilivyolazimishwa dhidi yake, pamoja na kukubaliwa kwa masharti ya Iran na upande wa adui.
Habari ID: 3482126 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/08
IQNA-Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) limelaani shambulio la Marekani na Israel dhidi ya Shule ya Shajareh Tayyebeh katika mji wa Minab, kusini mwa Iran, ambapo angalau wanafunzi na wafanyakazi wa shule 175 waliuawa katika mauaji ya kikatili tarehe 28 Februari.
Habari ID: 3482097 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/28
IQNA-Jeshi la Yemen limetangaza kuwa liko tayari kuingilia moja kwa moja kijeshi iwapo pande nyingine zitaungana na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mhimili wa Muqawama.
Habari ID: 3482096 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/28
IQNA-Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema mauaji ya wanafunzi katika Shule ya Minab yaliyotekelezwa na Marekani na Israel ni “sehemu ndogo tu ,” ya jinai ya kivita unaofanywa na muungano huo wa kijeshi wa tawala hizo mbili.
Habari ID: 3482095 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/28