iqna

IQNA

imarati
TEHRAN (IQNA)- Umepita mwaka mmoja tangu kulipotiwa saini makubaliano baina ya utawala haramu wa Israel na nchi mbili za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Bahrain, ambapo mataifa hayo ya Kiarabu yaliafiki kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474304    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17

TEHRAN (IQNA)- Wiki kadhaa baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuua idadi kubwa ya wanawake, watoto na raia wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza, utawala huo haramu umekaribishwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na kufungua ofisi za kibalozi mjini Abu Dhabi.
Habari ID: 3474058    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/30

TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kitendo cha baadhi ya nchi za Kiarabu cha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuwasaliti wananchi wa Palestina na umma wa Kiislamu kwa ujumla.
Habari ID: 3473488    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/24

TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani hatua ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) na utawala wa Kizayuni wa Israel na kutaja hatua hiyo kuwa ni ujinga wa kistratijia ambao bila shaka utapelekea kuimarika mhimili wa muqawama na mapambano katika eneo.
Habari ID: 3473066    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/14

TEHRAN (IQNA) - Wapalestina wanaendelea kulaani vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473065    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/14

TEHRAN (IQNA) – Kila mwaka kwa kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, familia za wenyeji wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati hujumuika pamoja zaidi ya wakati wowote mwingine katika makwa.
Habari ID: 3472782    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19

TEHRAN (IQNA) - Huku vita dhidi ya Yemen vikikaribia kutimiza mwaka wake wa tano, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) ambayo inaunda muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia imo mbioni kuondoa majeshi yake yote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3472486    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/19

TEHRAN (IQNA) Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukatika uhusiano na Qatar, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imekosoa hatua hiyo.
Habari ID: 3471008    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05

Mashindano ya kwanza ya Qur'ani Tukufu kwa wale waliosilimu yamepangwa kufanyika mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, (Imarati).
Habari ID: 3470624    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/21

Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ameyashambulia vikali makundi ya kigaidi na kitakfiri katika eneo la Mashariki ya Kati akisema kuwa makundi hayo yanaonyesha picha mbaya kwa dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 1455492    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/30