iqna

IQNA

zawadi
KARBALA (IQNA) - Wale wanaohudumu katika moja ya Moukeb kubwa katika mji mtukufu wa Karbala waliwaaga mahujaji waliokuja kwa ajiri ya Ziyara ya Arbaeen kwa kuwapa zawadi ya nakala za Quran Tukufu.
Habari ID: 3477574    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/09

Zawadi ya Mustafa SAW
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha Zawadi ya Kimataifa ya Mustafa (SAW) ambapo imewatunuku zawadi wanasayansi bora zaidi Waislamu duniani katika hafla iliyofanyika Tehran.
Habari ID: 3469674    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/26

Shirika la Kimataifa la Habari za Qur'ani (IQNA) imepata zawadi ya shirika bora la habari za kidini katika Maonyesho ya 21 ya Habari na Mashirika ya Habari mjini Tehran.
Habari ID: 3449242    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14

Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa ajli ya wanawake yamefanyika Ijumaa hii katika Shule ya Kiislamu ya Beni huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mkoani Kivu Kusini.
Habari ID: 3329125    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/19

Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Dubai yameanza Jumatano hii usiku katika mji huo wa Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3318398    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/24