iqna

IQNA

kujizuia
Mawaidha
IQNA – Taqwa (Kumcha Mungu) ni aina ya ulinzi maalum wa Nafs au Nafsi ambao pia huitwa kulinda eneo takatifu la Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478224    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20

Qur'ani Tukufu Inasemaje/25
TEHRAN (IQNA) - Hasira ni miongoni mwa hisia zinazosababisha uadui na kupelekea kuibuka matokeo mabaya ya kijamii. Uadui au uhasama unaweza kupunguzwa kwa njia fulani, lakini kuugeuzaa kuwa urafiki wa kindani ni jambo ambalo linaonekana kuwa lisilowezekana.
Habari ID: 3475670    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23