iqna

IQNA

maldives
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
IQNA - Serikali ya Maldives imetangaza siku kumi za mwisho za mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa siku za likizo rasmi kwa wafanyakazi wa sekta ya umma.
Habari ID: 3478313    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06

Harakati za Qur'ani Tukuuf
IQNA - Rais wa Maldivi (Maldives) Mohamed Muizzu amesisitiza azma ya serikali yake ya kuendeleza ufundishaji wa Qur'ani Tukufu na kuunga mkono walimu wa Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3478067    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/21

Qur'ani Tukufu
IQNA - Mashindano ya 36 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Maldives yamepangwa kuzinduliwa tarehe 23 Februari 2024.
Habari ID: 3478057    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Maldives (Maldivi) alitoa wito kwa watu kuutumia vyema mwezi mtukufu wa Ramadhani, ambao huenda ukaanza siku ya Alhamisi, na kutafuta faraja na nguvu katika mwanga wa nuru ambayo ni Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476738    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/21

Uislamu Maldives
TEHRAN (IQNA) – Duru ya 35 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur’ani ya Maldivi au Maldives imezinduliwa na makamu wa rais wa nchi hiyo, Faisal Naseem.
Habari ID: 3476297    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/24

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Hafla ilifanyika huko Maldives kwa ajili ya kutoa Tuzo za Kitaifa za Rais za Mafanikio Maalum na Nishani Maalum za Kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476076    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/12

TEHRAN (IQNA) – Rais Ibrahim Mohamad Solih wa Malidivi misikiti itafunguliwa tena kuanzia Julai Mosi kwa ajili ya Swala za jamaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Male.
Habari ID: 3472913    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30