iqna

IQNA

tajikistan
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Tajikistan amesisitiza ulazima wa kuwepo umoja katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuiokoa Palestina kutokana na ukandamizaji na kukaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3478277    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30

Kikao cha Tehran
TEHRAN (IQNA)-Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi JIrani na Afghanistan mwishoni mwa kikao chao hapa Tehran wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza kuwa: njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Afghanistan ni kuasisi muundo mpana wa kisiasa kwa kuyashirikisha makundi yote ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474482    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) inaweza kuwa kichocheo muhimu cha mtazamo mmoja wa pande kadhaa ulimwenguni.
Habari ID: 3474307    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili katika mji mkuu wa Tajikistan, Dushanbe, ambako anashiriki mkutano wa wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unaofanyika nchini humo leo na kesho.
Habari ID: 3474303    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mkubwa zaidi katika eneo la Asia ya Kati uliojengwa katika mji mkuu wa Tajikistan, Dushanbe, utafungulwia rasmi mwezi ujao wa machi.
Habari ID: 3472437    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/03

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Tajikistan imetangaza kuwazuia wanawake wa nchi hiyo kuvaa vazi la staha la Hijabu ikiwa ni muendelezo wa vita dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471110    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/07