iqna

IQNA

zanzibar
Uhusiano wa Iran na Tanzania
TEHRAN(IQNA)- Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian mjini Dodoma.
Habari ID: 3475688    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/27

TEHRAN (IQNA)-Rais wa Zanzibar amezitaja shughuli za kielimu na kimaarifa zinazofanywa na tawi la Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kuwa ni muhimu na kutangaza kuunga chuo hicho katika shughuli zake eneo la Zanzibar nchini Tanzania.
Habari ID: 3474976    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/26

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Zanzibar katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa wito kwa Waislamu kuwatunza na kuwaheshimu walimu wa shule za Qur’ani au Madrassah ili kuwapa motisha na kutambua jitihada zao za kuelimisha na kulea watoto.
Habari ID: 3474562    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/15

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna fursa nyingi na nzuri za kuboresha na kustawisha kiwango cha uhusiano baina ya Iran kwa upande mmoja na Tanzania na Zanzibar kwa upande mwingine.
Habari ID: 3474163    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/06

TEHRAN (IQNA)- Ustadh Twahir Ali Alwi kutoka Kenya ameibuka mashindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani ya Zanzibar.
Habari ID: 3471536    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/29

TEHRAN (IQNA) Kwa munasaba wa Wiladat ya Imam Ridha AS, Msafara wa wahudumu wa Haram Takatifu ya Imam Ridha AS iliyoko mjini Mashhad nchini Iran wamefika Zanzibar nchini Tanzania na kukutana na Ulamaa wa Ahul Sunna.
Habari ID: 3471104    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05

TEHRAN (IQNA) Waislamu na watetezi wa haki Tanzania na Kenya wameungana na wapigania haki duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471033    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/24

IQNA-Murtadha Ridhwanifar, msomi wa masuala ya utamaduni nchini Iran amefanya safari Afrika Mashariki kuangazia historia ya Washirazi waliofika eneo hilo kutoka Iran.
Habari ID: 3470748    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/18

IQNA: Msikiti wa Kizimkazi ni kati ya misikiti mikongwe zaidi Afrika Mashariki na uko visiwani Zanzibar na ulijengwa na Wairani mwaka 500 Hijria Qamaria sawa na mwaka 1107 Miladia.
Habari ID: 3470725    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/08

IQNA-Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani yamefanyika mapema wiki hii visiwani Zanzibar nchini Tanzania.
Habari ID: 3470712    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/03

Waislamu nchini Tanzania wametaka iundwe kamati ya kimataifa kuchunguza maafa ya hivi karibuni huko Mina karibu na mji mtukufu wa Makka ambapo zaidi ya Mahujaji 5,000 walipoteza maisha.
Habari ID: 3377983    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/03

Kamati ya kuutafuta mwezi mwandamo katika Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza kuwa, Siku kuu ya Idul Fitr itaadhimishwa kesho Jumamosi nchini Iran na kwa msingi huo Ijumaa ya leo ni siku ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani nchini.
Habari ID: 3328911    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/17

Wakaazi wa Zanzibar nchini Tanzania wamepokea kwa furaha tele hatua ya kuanzishwa huduma 10 za mfumo wa Kiislamu katika benki kuwahudumia wafanyabiashara, maafisa wa serikali na wananchi wa kawaida.
Habari ID: 3327967    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/14

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amejiunga na taifa la Iran katika kuadhimisha siku kuu ya Nowruz ya kuwadia mwaka mpya wa Hijria Shamsia.
Habari ID: 3015830    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/20