iqna

IQNA

mustafa
Milad un Nabii
TEHRAN (IQAN)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika toleo la tano la Tuzo ya al Mustafa (SAW) kuwa sayansi na elimu yenye manufaa ni elimu inayosababisha saada na ufanisi kwa mwanadamu na kuongeza kuwa, tangu hapo awali, Wamagharibi walikuwa na wasiwasi kwamba kutajitokeza ustaarabu mpya wa kukabiliana nao, na hii ndiyo sababu kuu ya chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na chuki dhidi ya Iran (Iranophobia).
Habari ID: 3477671    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30

Zawadi ya Mustafa SAW
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha Zawadi ya Kimataifa ya Mustafa (SAW) ambapo imewatunuku zawadi wanasayansi bora zaidi Waislamu duniani katika hafla iliyofanyika Tehran.
Habari ID: 3469674    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/26

Katika siku za kukaribia tarehe 27 Rajab Mohammad SAW alikuwa akienda katika pango la Hiraa na katika baadhi ya nyakati alikuwa akikaa siku kadhaa katikaeneo hilo. Alikuwa akimfahamisha mke wake mtiifu Khadija kuwa: ‘Wewe pia wafahamu mahaba na mafungamano yangu. Katika siku hizi nina hisia ya ajabu ya kupenda kumkumbuka Mola muumba, moyo wangu hautaki chochote isipokuwa hilo.’
Habari ID: 3303983    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/15

Tovuti maalumu imeundwa kwa ajili ya kusambaza barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini.
Habari ID: 2880257    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/22