iqna

IQNA

abraham
Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman siku ya Jumamosi alitangaza kuwa nchi yake haitaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel huku akitoa kutoa wito wa kutatuliwa kwa haki suala la Palestina.
Habari ID: 3475308    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28

TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi nchini Jordan wamekataa msaada wa masomo wa chuo kikuu kimoja cha Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) baada ya kubainika kuwa msaada huo unatolewa kwa ushirikiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474573    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/18

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri Sheikh Ahmed el Tayyib, amekosoa jitihada za utumizi wa istilahi ya 'Dini ya Kiibrahimu' kwa lengo la kuziunganisha dini za Kiislamu, Kikristo na Kiyahudi.
Habari ID: 3474533    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kwa mara nyingine imelaani vikali mkataba wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya madola ya Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474315    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19