iqna

IQNA

Hashd al Shaabi
Muqawama
IQNA - Makamanda wa harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis walikuwa wapiganaji wakubwa waliopata ushindi dhidi ya ugaidi wa kimataifa.
Habari ID: 3478166    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08

TEHRAN (IQNA)- Qarii Yassri al Araq wa Iraq hivi karibuni alisoma aya za Qur’ani katika sherehe za kuadhimisha kuanzishwa Jeshi la Kujitolea la Wananchi maarufu kama al Hashd al Shaabi .
Habari ID: 3474078    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/07

TEHRAN (IQNA) - Hujuma ya majeshi ya kigaidi ya Marekani kwa ushirikiano na waitifaki wao Iraq dhidi ya vituo vya Brigedi za Kata'ib Hizbullah imelaaniwa vikali kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3472900    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/26