iqna

IQNA

jordan
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Jordan wa Wakfu, Masuala ya Kiislamu na Maeneo Matakatifu amesema kuna zaidi ya vituo 2,000 vya Qur'ani vinavyotumika wakati wa msimu wa joto nchini humo.
Habari ID: 3474264    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/06

TEHRAN (IQNA)- Raia mmoja wa Jordan amewatunuku watu wa Ghana nakala 1,400 za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474071    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/05

TEHRAN (IQNA) – Finali ya mwisho ya mashindano kitaifa ya Qur’ani Jordan imepangwa kufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473748    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/19

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel haupaswi kuingilia mambo ya Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) kwa sababu Wazayuni hawana mamlaka yoyote katika eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3473731    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/13

Harakati ya Kiislamu ya Amal ya Jordan
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Kiislamu ya Amal ya Jordan imetoa taarifa na kusema hatua ya Morocco kuafiki kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kashfa kubwa na pia ni uhaini wa kihistoria.
Habari ID: 3473491    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/25

TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Jordan, Mustafa al-Mashni ameaga dunia baada ya kuugua corona au COVID-19.
Habari ID: 3473380    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/21

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kiislamu Jordan amesema marufuku ya Swala ya Ijumaa nchini humo sasa imeondolewa.
Habari ID: 3473374    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/19

TEHRAN (IQNA)- Vituo 200 vya Qur’ani Tukufu nchini Jordan vimetangaza kuandaa darsa maalumu za kuhifadhi Qu’rani Tukufu kwa kuzingatia kanuni za afya wakati huu wa janga la corona.
Habari ID: 3473006    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27

Mahakama ya Kilele ya Jordan imetoa hukumu ikitangaza kuvunjwa Harakati ya Ikhwanul Muslimin nchini humo.
Habari ID: 3472972    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/17

Darul Iftaa ya Jordan
TEHRAN (IQNA) – Darul Iftaa ya Jordan imetoa fatwa inayowapiga marufuku wagonjwa wa COVID-19 au corona kushiriki katika swala za jamaa.
Habari ID: 3472932    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/05

TEHRAN (IQNA)- Nchi mbali mbali duniani zinaendelea kupinga utekelezaji wa mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupora eneo kubwa la Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3472878    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/19

TEHRAN (IQNA) - Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan ameutahadharisha utawala wa Israel kuwa utaraji mapigano makubwa iwapo utasonga mbele na mpango wake wa kuteka zaidi ardhi za Palestina katika Ukingo wa Magharibi na Bonde la Jordan.
Habari ID: 3472774    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/17

TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Jordan imetangaza mpango wa kuzindua vituo 50 vya kuhifadhi Qur'ani katika mkoa wa Karak nchini humo.
Habari ID: 3471568    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/22

TEHRAN(IQNA)-Kitengo cha wanawake cha Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jordan yamepangwa kuanza Jumatano Machi 29.
Habari ID: 3470910    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/27

IQNA: Serikali ya Jordan imekosolewa vikali kwa kuondoa zaidi ya aya 290 za Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume SAW katika vitabu vya shule nchini humo.
Habari ID: 3470837    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/07

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Jordan kwa ajili ya wanawake yameanza Jumapili kwa kuhudhuriwa na Waziri wa Awqaf nchini humo pamoja na mabalozi wa nchi kadhaa.
Habari ID: 3470239    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11

Musa Motamedi hafidh wa Qur’ani kutoka Iran ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3384686    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya mgaidi wa kundi la Daesh (ISIL) kumuwa kinyama rubani wa Jordan aliyekuwa ametekwa nyara na kundi hilo.
Habari ID: 2811515    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04

Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri Ahmad al Tayyib ametoa taarifa akilaani kitendo cha kundi la kigaidi la Daesh cha kumchoma moto akiwa hai rubani Moaz al-Kassasbeh wa Jordan. Amekitaja kitendo hicho kuwa ni cha kigaidi na kishetani.
Habari ID: 2809497    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04