Al-Furqan ni Surah ya 25 ya Qur'ani Tukufu na ina aya 77. Misri ni nchi iliyo katika eneo la Afrika Kaskazini na idadi ya watu nchini humo ni milioni 98 ambapo asilimia 90 ni Waislamu.
Harakati za Qur'ani ni jambo la kawaida miongoni mwa Wamisri na nchi hiyo ina baadhi ya wasomaji bora zaidi wa Qur'ani duniani.