Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar nchini Misri amesema kuwa, hakuna tatizo lolote katika kuwakurubisha pamoja Waislamu wa madhehebu ya Suni na Shia.
2015 Aug 18 , 16:58
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullahil Udhma Khamenei Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inazinyooshea mkono wa urafiki serikali zote za Kiislamu za eneo na wala haina tatizo lolote na serikali za Kiislamu.
2015 Aug 18 , 06:19
Kikao cha Nane cha Muungano wa Redio na Televisheni za Kiislamu kimeanza leo hapa mjini Tehran.
2015 Aug 16 , 21:07
Rais Hassan Rouhani wa Iran
Rais Rouhani amesisitiza kuwa, njia pekee ya kukabiliana na changamoto hizo ni kurejea kwenye umoja wa Waislamu duniani na kujitenga na mirengo iliyopotoka.
2015 Aug 15 , 18:40
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani inalitumia kundi la kigaidi la Daesh kuligawa eneo la Mashariki ya Kati.
2015 Aug 15 , 18:33
Saudi Arabia imeendeleza mashambulizi yake ya kikatili kote Yemen huku Umoja wa Mataifa ukitoa wito wa kusitishwa mapigano katika nchi hiyo ya Kiarabu.
2015 Aug 14 , 12:41
Katibu Mkuu wa Baraza la Kiislamu na Kikristo la Kutetea Quds Tukufu amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo cha machafuko na ghasia katika eneo la Mashariki ya Kati.
2015 Aug 14 , 06:19
Wafuasi 452 wa Harakati ya Ikwanul Muslimin nchini Misri wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu hadi 25 jela katika hukumu iliyotolewa na mahakama ya kijeshi.
2015 Aug 13 , 12:33
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Bahrain wamesema kupigwa marufuku gazeti pekee la kujitegemea la al-Wasat nchini humo ni ukiukaji wa uhuru wa kutoa maoni.
2015 Aug 11 , 06:34
Nchini Mali watu wasiopungua 13 wakiwemo wanajeshi watano wa serikali wameuawa Ijumaa na Jumamosi katika hujuma dhidi ya hoteli moja eneo la kati mwa nchi hiyo huku raia kadhaa wa kigeni wakichukuliwa mateka.
2015 Aug 08 , 15:25
Baba ya mtoto Mpalestina wa miezi 18 aliyeuwawa hivi karibuni na masetla Waisraeli wenye misimamo mikali amefariki dunia kutokana na majeraha ya moto aliyopata katika tukio hilo.
2015 Aug 08 , 12:50
Nakala ya Qur’ani Tukufu iliyofunikwa kwa plastiki imepatikana katika viswa vya Reunion Bahari ya Hindi na inaaminika kuwa inafungamana na mabaki ya ndege ya Malaysia iliyotoweka mwaka jana.
2015 Aug 08 , 12:48
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
2015 Aug 07 , 17:43