Waislamu nchini Marekani wamefanya maandamano makubwa kulaani mauaji ya hivi karibuni dhidi ya Wakristo weusi wenye asili ya Afrika ndani ya kanisa moja katika jimbo la Carolina Kusini.
2015 Jun 22 , 23:40
Waislamu nchini Marekani wameanzisha kampeni yenye lengo la kuonesha sura sahini na adhimu ya Mtukufu Mtume Muhammad SAW kwa wafuasi wa dini nyingine duniani.
2015 Jun 20 , 17:31
Waislamu katika nchi nyingi duniani leo wamenza funga ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
2015 Jun 18 , 15:09
Sambamba na kuanza hujuma ya hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen, kumeshuhudiwa kuongezeka kwa kasi chuki dhidi ya Ushia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika.
2015 Jun 18 , 15:00
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, ametoa mkono wa kheri na fanaka kwa maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu duniani kwa mnasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
2015 Jun 17 , 22:53
Mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Palestina amewataka Waislamu wahudhurie kwa wingi katika msikiti mtukufu wa al Aqsa wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2015 Jun 16 , 00:59
Uganda itakuwa mwenyeji wa kikao cha kwanza cha kitaalamu kuhusu ‘Nafasi ya Misimamo ya Wastani ya Kidini Katika Kufikia Ulimwengu Usio na Machafuko’.
2015 Jun 12 , 18:35
Katika jitihada za kueneza mafundisho halisi ya Kiislamu, jumuiya moja ya Kiislamu nchini Nigeria imeanzisha stesheni mpya za televisheni na radio katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
2015 Jun 12 , 18:15
Watoto 93 Wapalestina hivi sasa wanashikiliwa katika Jela ya kuogofya ya Ofer ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
2015 Jun 08 , 21:45
Kiongozi wa chama cha upinzani katika utawala wa Kizayuni wa Israel amesema utawala huo unakabiliwa na Intifadha ya kidiplomasia kutokana na kuongezeka harakati za vuguvugu la kususia bidhaa za Israel kote duniani.
2015 Jun 07 , 15:02
Barani Ulaya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unatazamiwa kuanza Alkhamisi Juni 18. Tangazo hilo limetolewa na Baraza la Fatwa na Utafiti Ulaya (EFCR) kwa mujibu wa mahesabu ya kifalaki.
2015 Jun 06 , 14:32
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon Gebran Bassil amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unafaidika sana na mgogoro baina wa Waislamu wa madhehebu ya Shia na Suni.
2015 Jun 06 , 12:58
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mafundisho ya Imam Khomeni MA ndio ramani ya njia ya taifa lililojaa matumaini la Iran na kwamba kuna udharura wa kukabiliana na upotoshaji shakhsia ya Imam.
2015 Jun 04 , 22:55