iqna

IQNA

uliosababishwa
Tarehe 28 Septemba mwaka huu, Kisiwa cha Sulawesi nchini Indonesia kilikumbwa na zilzala au mtetemeko mkubwa wa ardhi ambao uliibua mawimbi ya baharaini maarufu kama Tsunani na kusababisha uharibifu mkubwa na watu zaidi ya 2000 kupoteza maisha.
Habari ID: 3471704    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/09