iqna

IQNA

awqaf
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Awqaf nchini Misri Sheikh Mukhtar Gomaa amekutana na Katibu Mkuu wa Akademia ya Kimataifa ya Fiqhi Sheikh Koutoub Mustafa Sano kujadili njia ya kukabiliana na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3474077    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/07

TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Awqaf Misri imesema nchi 40 zimetangaza kuwa tayari kushiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3470904    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/22

IQNA-Serikali ya Misri imewapiga marufuku wahubiri wa Kiwahhabi kuhutubu hotuba katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470643    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30

Awamu ya 38 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameanza Jumamosi hii katika mji wa Kermanshah magharibi mwa nchi.
Habari ID: 3466837    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/19

Waziri wa Awqaf nchini Misri ametangaza kuwa misikiti mipya zaidi ya 1000 imejengwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika katika miaka ya hivi karibuni.
Habari ID: 3447288    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/11

Waziri wa Awqaf nchini Misri katika kuendeleza uhasama na chuki zake dhidi ya madhehebu ya Shia amewataka Mashia nchini humo kutoa taarifa rasmi ya kutangaza kuipinga Iran ili kuoneysha nia yao njema!
Habari ID: 3395050    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/26

Wizara ya Awqaf nchini Syria imewatangaza washindi wa Awamu ya 16 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3362917    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/15

Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kidini nchini Misri imeandaa semina yenye anuani ya ‘Hatari ya Fikra za Kitakfri’.
Habari ID: 1375500    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/16