iqna

IQNA

shawki
Mufti wa Misri
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri amesema Fatwa nyingi ambazo hutolewa na wale wenye misimamo mikali nay a kufurutu ada na ambazo huharibu sura ya Uislamu halisi hutokana na ufahamu mbovu wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474696    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/19

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar Misri na Mufti Mkuu nchini humo wametoa taarifa na kulaani vikali hujuma ya kigaidi ya Ijumaa dhidi ya Msikiti wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia ambapo watu takribani 100 wameuawa.
Habari ID: 3474399    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09

Sheikh Shawki Ibrahim Abdulkarim Allam Mufti Mkuu wa Misri amesema kuwa, kundi la kigaidi la Daesh (ISIL) ni kundi hatari mno na kusisitiza kwamba kundi hilo la kitakfiri na kigaidi halifungamani kabisa na matukufu ya dini ya Kiislamu na lina fikra na uelewa potofu kuhusiana na dini ya Kiislamu.
Habari ID: 2846216    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/13